Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 29, 2014

 

Swali la wengi kujiuliza ni je Katy Perry anahatarisha mahusiano yake na Rihanna? Muimbaji huyo wa wimbo The ‘Dark Horse’ kwa namna moja ama nyingine anaonekana kumdiss RiRi’s boyfriend Drake.Katy Perry amdiss rappa Drake na kumuita ‘Soft.Hayo yametokea wakati Kat Perry akihojiwa  na Power 105.1′s The Breakfast Club na kusema Canadian artist huyo ni‘soft ukimlinganisha na rappa mwingin.Kat  Perry amesema Drake ni soft huwezi kumlinganisha hata na “Dark Horse” collaborator Juicy J  .Katy Perry aliendelea kumpa sifa Juicy J hata kudiriki kusema is such a sweet, genuine guy. [He’s] an amazing hard worker,” Katy akasema amefanya kazi na watu wa wengi wa hip hop ila Juicy ni mkarimu na ni mchapakazi na asingependa awe soft kama Drake.

 

0 comments:

Post a Comment