The National Basketball Association wamemfungia maisha mmiliki wa Los Angeles Clippers bw Donald Sterling na kumpiga fina ya dolla za kimarekani millioni 2.5 kutokana na makosa aliyokutwa nayo bada ya kurekodiwaakitoa kauli za kibaguzi kwa waamerica wenye asili ya kiafrica.Kamishna wa NBA bwAdam Silver alitangaza uamuzi huo katika kikao na waandishi wa habari jana mapema (April 29).
Katika mkanda huo aliorekodiwa inasemekana Sterling alimtolea kauli kali na za kibaguzi binti anayeaminika kuwa ni mpezi wake na hata kufikia kusema '' usiwalete watu wesui wakati timu yake ya Los Angeles Clippers ikicheza.
Kufuatia tukio hiloThe Los Angeles Clippers wamefikia uamuzi wa kubadilisha website ambayo itasomeka"We Are One" kama haitoshi Logo ya Los
Angeles Clippersitakuwa katika maandishi meupe na mji mweusi.
Baada ya kutangazwa uamuzi huo baadhi ya watu maarufu walitweet:
0 comments:
Post a Comment