Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 30, 2014

 
Baada ya kamishna wa NBA kutangaza kumfungia maisha aliyekuwa mmiliki wa timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki ligi ya NBA BW Donald Sterling,Bad Boy Records CEO Diddy amesema yupo tayari kumwaga mpunga kwaajili ya kuwa mmiliki wa timu hiyo.

Baada ya kutangaza nia yake hiyo Puff Daddy akaongeza kusema "I will always be a Knicks fan, but I am a business man. #DiddyBuyTheClippers Akimaanisha ataendelea kuwa shabiki wa Knicks japo atakuwa Clippers kama mfanya biashara.

0 comments:

Post a Comment