Mama huyo wa watoto wawili wa Michael Jackson amesema ana mpango wa kwenda mahakamani kuomba kupewa kibali cha kuwachukua watoto wake na mwenzo ikibidi.Akiongea na waandishi wa mtandao wa TMZ Rowe sabau kubwa inayompelekea kutaka kuwachukua watoto hao ni mazingira anayoyaona kwani anaona kama bibi yao ambaye ni Katherine Jackson nimzee mno kuwalea watoto hao na katika mstari.Rowe ametoa kasoro za TJ Jackson ambaye ni kaka wa M.J aliyepewa jukumu la ulezi msaidi . amesema shemeji yake hawezi kuwa na muda mzuri wa uangalizi kwa watoto kwani mara zote yupo katika ziara za muziki.
Rowe atafungua mashtaka kuomba apewe kibali cha kuwaangalia watoto na chanzo kimopja cha karibu kimesema mama huyo hana mpango na mali wali fedha za mirathi.
Michael Jackson ameacha watoto wtatu ambao ni Prince,Blanket na Paris.
0 comments:
Post a Comment