The MTV Movie Awards ilifanyika siku ya jana April 13 nakuhudhuriwa na namba kubwa ya watu maarufu wengi wao toka Hollywood wanaofanya fani mbalimbali kuanzia filamu,televisheni,muziki nk.Mbali na shughuli za utojai wa tuzo hizo kulikuwa na burudani ya muziki ambapo Rihanna and Eminem walitumbiza wimbo walioshirikiana wa "The Monster" na baadaye Rihanna alipata tuzo ya The "Best Cameo Performance" kupitiaa filamu ya This Is The End.
Hapo chini ni tuzo za filamu za MTV Movie Awards za mwaka 2014 kama lilivyoainisha gazeti la USA Today:
Movie of the year: The Hunger Games: Catching Fire
Best female performance: Jennifer Lawrence, The Hunger Games: Catching Fire
Best male performance: Josh Hutcherson, The Hunger Games: Catching Fire
Breakthrough performance: Will Poulter, We're the Millers
Best kiss: Emma Roberts, Jennifer Aniston and Will Poulter, We're the Millers
Best fight: Orlando Bloom and Evangeline Lilly vs. Orcs, The Hobbit: The Desolation of Smaug
Best comedic performance: Jonah Hill, The Wolf of Wall Street
Best shirtless performance: Zac Efron, That Awkward Moment
Best villain: Mila Kunis, Oz The Great and Powerful
Best on-screen transformation: Jared Leto, Dallas Buyers Club
Best musical moment: Backstreet Boys, Jay Baruchel, Seth Rogen and Craig Robinson perform in Heaven, This is the End
Best cameo performance: Rihanna, This is the End
Trailblazer award: Channing Tatum
MTV Generation award: Mark Wahlberg
0 comments:
Post a Comment