Young Money star,Nicki Minaj anawahakikishia mashabiki wake kwamba yeye ni zaidi ya marapa wa kike na kwa kusema hayo anataka waache kumuweka katika mpambano na marapa wa kike bali apambanishwe na hip-hop heavyweights wa kiume.Akiongea na MTV siku ya jumatatu Nicki Minaj amesema:"I do not see myself as a female rapper anymore, I'm sorry, "I see myself as a rapper. akimaanisha hajichukulii kama rappa wa kike bali anajiona kama rappa.
Na katika habari nyingine Young Money star,Nicki Minaj amesema amemaliza mambo ya kujinanga na kuvaa mawigi na mavazi ya ajabu ajabu kuvuta muonekano,sasa tutamuona akiwa mrembo halisia na nywele zake na mavazi nadhifu.
Nicki
Minaj Says She’s Done Wearing Crazy Costumes And Ridiculous Weaves
For Attention - See more at:
http://bossip.com/952407/natural-barbie-nicki-minaj-says-shes-done-wearing-crazy-costumes-and-ridiculous-weaves-for-attention/#sthash.hdaAulAw.dpuf
0 comments:
Post a Comment