Mtandao wa Showtime's All Access unaripoti bondia Floyd Mayweather Jr amethibitisha kuachana na aliyekuwa mchumba wake Shantel Jackson .Mtandao wa Mtandao wa Showtime's All Access unaonyesha vipande vya behind the scenes za Floyd Mayweather akijiandaa na mpambano ujao baadaye kipande hicho cha video kinamuonyesha star boxer huyo akiongelea mambo yake binafsi juu ya mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake Shantel Jackson kwamba wameachana rasmi.
Wawili hao wamekuwa pamoja kwa takribani miaka minne. Na haya ndiyo maneno aliyoyasema bondia Mayweather Jr :
You always want a strong, beautiful woman that you can share your everything with. But I have to go my separate way. She's focusing on her career in L.A., which is acting. And I'm focusing on my career, which is boxing. Sometimes people can outgrow one another, but we're still friends.Bondia Mayweather atapambana na bondia Marcos Maidana tarehe 3 mwezi may.
Shantel Jackson
0 comments:
Post a Comment