Gazeti la Reuters limeandika raia wa Uruguay watumiaji wa bange wataruhusiwa kununua mpaka gram 10 za bange kwa wiki.Gram 10 zinatosha kutoa misokoto 20 ya bange.Hatua hiyo imefikiwa baada ya nchi hiyo kutangaza kuruhusiwa kwa matumizi ya bange
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment