Katika kumuenzi marehemu mjomba wake,Uncle June Bugg,aliyefariki hivi karibuni baada ya kuugua ugonjwa wa kansa,Snoop Dogg na binamu yake Daz Dillingerwametangaza kufanya track waliyoiita “We’ll Miss U.”
The West Coast MCs watafanya wimbo huo wa kumenzi mjomba wao ambapo wamedai watatumia sehemu ya sauti za uncle June Bugg.
Hii nisehemu ya mistari itakayosikika katika wimbo huo:
“Makin’ people smile and laugh is what you used to / Dancin’ across the stage with Daz and Kurupt, Joe Cool, Soopafly, and the homegirl Rage,” raps Snoop.
Put your lighters up for Uncle June Bugg.
0 comments:
Post a Comment