Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 15, 2014


G-Unit's Tony Yayo ametingisha vyombo mbalimbali vya habari na mitandao baada ya kutangaza mpango wake kwamba anajiunga kwaajili ya kufanya kazi na aliyekuwa mwana G-Unity mwenzake,Young Buck.
Akiongea na "Talk of New York,"Tony Yayo amesema amegfanya ngoma mpya kali iitwayo "Devils Advocate" na Buck Marley aka Young Buck.
Katika kudhihirisha hayo Yayo kupitia akaunti yake ya Tweeter alitweet: April 14 Devils Advocate dropping today featuring Young Buck.????????????????????????

Wakati Tony Yayo na  Young Buck wanaongelea kazi yao ya pamoja,aliyekuwa boss wao na G-Unity,50Cent ameendelea kuwaponda na kuwakebehi ma mc hao waliokuwa wakiipeperusha vema bendera ya G-Unity kwa kuwafananisha na watoto.50Cent aliyasema hayo wakati akiongea na CGMofficialTV.50Cent ameendelea amesema anawafananisha ma rapa hao na watoto kwa sababu hawakujua wanajua kutekeleza majukumu yao alipowapa mashavu ya kuwa chini yake na kuongeza kusema alitarajia mahusiano yake na Tony Yayo yangekuwa ya mafanikio kama ya akina Jay Z na Kanye West. 

0 comments:

Post a Comment