May 1 jioni ilikuwa ni siku ya kipekee kwa wanamuziki wa America wenye majina kutokana na tuzo zilizoandaliwa na iHeartRadio,in Los Angeles huku swali lililokuwa gumu ni nani kuondoka na tuzo gani?
Tuzo hii ya iHeartRadio Music Awards hufanyika mara moja kila mwaka na mwaka huu imefanyika May 1 ikiwa na nominee list ya nyota wakubwa wa muziki kama: Katy Perry, Rihanna, Taylor Swift, & Justin Timberlake.
Na haya ni baadhi ya majina ya washindi wa tuzo za iHeartRadio Music Awards 2014
Artist of the Year: RihannaiHeart Innovator Award: Pharrell Williams
EDM Song of the Year: Avicii & Aloe Blacc, “Wake Me Up”
Country Song of the Year: Blake Shelton, “Boys ‘Round Here”
Song of the Year: Rihanna, “Stay”
Alternative Rock Song of the Year: Imagine Dragons, “Demons”
Young Influencer Award: Ariana Grande
Instagram Award: Austin Mahone
Best New Artist: Lorde
Best Lyrics: Miley Cyrus, “Wrecking Ball”
Best Collaboration: Pitbull feat. Kesha, “Timber”
Hip Hop/R&B Song of the Year: Rihanna, “Pour It Up”
Best Fan Army: Rihanna, Rihanna Navy
Best dressed:
0 comments:
Post a Comment