Bondia Floyd Mayweather ni mpweke hii ni kutokana na taarifa toka kwa mtu wa karibu kabisa na bondia huyo kwamba hali haikuwa shwari pale Mayweather alipogundua aliyekuwa mpenzi wake anatoka na mshikaji wake wa siku nyingi,rappa Nelly.Taarifa zinadai hapo awali Floyd alikuwa tu akihisi Shantel Jackson anatoka na rapper ambaye ni mshkaji wake wa siku nyingi lakini hakujua nani.
Mtu mmoja wa karibu na bondia huyo amesema Floyd asingeweka kwa mitandao habari ya Shantel kunyofoa ujauzito wake ila alifanya hivyo kwa hasira na kukosa muelekeo.
Picha chini inamuonyesha rappa Nelly akiwa na mrembo Shantel Jackson:
Friday, May 2, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment