Kufuatia kauli za bondia Mayweather kusema Nelly kampora mchumba wake,rappa huyo amekuja juu na kuamkana Floyd Mayweather kwa kusema hawajawahi kuwa marafiki japoa wamewahi kwenda pamoja club mara kadhaa.
Nelly and Floyd wameonekana wakiwa pamoja mara kadhaa ktk
nightclubs na hata mapambano ya Mayweather miaka kadhaa iliyopita na walionekana wakiwa poa.
Nelly ndiye anayethubutu na kusema hawakuwahi kuwa marafiki na habari hii ya kutajwa ni rafiki yake wa karibu zimemshtua kwasababu anadai hawajawahi kubadilishana hata namba,ailihudhuria mapambano yake kwa kupenda tu na wala hajaalikwa na hata huko ma club tulikutana tu.
Nelly ameongeza kusema "Floyd anamchanganya na mahusiano yake na mtu ambaye alikuwa akihusiana naye yeye.
Rappa Nelly amemaliza kwa kusema: "I have great respect for him as far as him being a true champion in his
sport but homies ..?? Circle of friends ..? Nahh ... Good luck to him
tho keep making history champ."
Saturday, May 3, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment