1.T.J. Jackson mjomba wa Michae inasemekana alikuwa mpenzi wa kwanza wa Kim K.
2. Damon Thomas mume aliyesahaulika wa Kim,ni music producer ambaye walioana mwaka 2000-04.
3.Nick Cannon na Kim Kardashian 2006-07.
4.The Game alidhaniwa anatoka na Khloe Kardashian lakini akafunguka na kusema alitoka na Kim.
5.Ray J. One anabaki na rekodi ya kufanya mkanda mweusi na Kim Kardashian.
6. Baada ya Ray J Kim alienda kwa NFL star Reggie Bush.
7.Baada ya NFL star Reggie Bush alichukuliwa na Miles Austin mchezaji wa Dallas Cowboys
8.Kim Kardashian's second husband,Kris Humphries,ambaye walioana na kudumu kwa siku 72 tu
9. Kanye ndiye aliyefanikisha kumpatia mtoto na kama haitoshi atamuoa.
0 comments:
Post a Comment