Mtandao wa thehollywoodgossip.com unaripoti kwamba Kim Kardashian alimuomba aliyekuwa muimbaji wa kundi la Spice Girl,Victoria Beckham kum bunia gauni lake la harusi lakini VB aka Posh alimchomolea kwa kisingizio ana kazi nyingi.Chanzo kimoja cha karibu na m bunifu huyo VB kimesema,m bunifu huyo kusema ana kazi nyingi ni kisingizio tu,ukweli nikwamba VB anahofia kujihabribia kwa wateja wake ambao ni watu wa heshima na matajiri wakubwa ambao anadhani kwa yeye na bidhaa zake kuonyeshwa katika
reality show itawfukuza.
Saturday, May 3, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment