Arjen Robben amekiri kujirusha na kujiangusha japo anadai si kwa kutaka timu yake ipatiwe penati. Netherlands beat Mexico in the World Cup last 16 but not for the decisive penalty.
Robben alijirusha na kujiangusha baada ya kuzongwa na captain wa Mexico Rafael Marquez katika dakika ya 94 ya mchezo zikiwa zimebaki dakika 2 kabla ya mchezo kumalizika.
0 comments:
Post a Comment