Beyonce aomengoza na kushika namba moja katika oroodha ya 1 Forbes' Celebrity 100 ambayo imetolewa jana (June 30).
Beyonce ametengeneza kama dolla millioni 115 katika kipindi cha mwaka mmoja yaani kuanzia mwezi June 2013 mpaka June 2014,ripoti zaidi zinasema Beyonce
amejiingizia mkwanja huo mwingi toka kwa vyanzo mbalimbali ikiwemo ziara za muziki ambapo aljiingizia kiasi cha dolla 2.4 kwa kila tamasha na kama haitoshi alitoa albamu Beyonce mwezi December 2013 albamu liyokuwa na video ya kila wimbo na kumpaisha kimauzo.
Tazama Top 10 ya waliongiza mkwanja hapo chini:
1.Beyoncé Knowles - $115 million
2.LeBron James - $72 million
3.Dr. Dre - $620 million
4.Oprah Winfrey - $82 million
5.Ellen DeGeneres - $70 million
6.Jay Z - $60 million
7.Floyd Mayweather - $105 million
8.Rihanna - $48 million
9.Katy Perry - $40 million
10.Robert Downey Jr. - $75 million
Na kwa upande mwingine kuna habari zinasema Beyonce na mume wake Jay Z wanaishi tofauti japo wapo katika ziara yao ya pamoja ya muziki ya On The Run Tour .
Wawili hao wana binti wa umri wa miaka miwili,Blue Ivy,inasemekana sababu kubwa ya utofauti kati yao ni maswala ya kukoseanan uaminifu.
Tuesday, July 1, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment