Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, July 1, 2014

 063014_tiny_floyd_launch
Ikiwa miezi kadhaa tangu litokee tifu la bondia Floyd Mayweather Jr. na rappa T.I kuhusiana na bondia huyo kuhusishwa na Tiny ambaye ni mke wa T.I,siku ya jumapili june 29 wakiwa katika red carpet Tiny alikuwa akihojiwa na waandishi wa habari ndipo alipotokea bondia Floyd Mayweather Jr na kujaribu kumuita na hata kumvuta mkono lakini Tiny alimkataa.

0 comments:

Post a Comment