R. Kelly hakubaliani na ukweli kwamba mwanawe wa kike Jaya amechagua kuwa mwanaume.
Kelly amesema bado anamuhesabia mwanaye huyo wa umri wa miaka14 kuwa ni binti na mwnaume kama anavyojitaja yeye na kubadili jina lake toka Jaya kwenda Jay.
R. Kelly ameyasema hayo alipohojiwa na weekend iliyopita na radio moja huko Chicago.
Jay hajabadilisha viungo ila angependelea.
Friday, June 27, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment