Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, July 1, 2014


Bondia Floyd Mayweather Jr.,37 akiwa katika red carpet za tuzo za BET June 29,alipata taarifa kuwa gari walilokuwamo watoto wake watatu limepata ajali huko Los Angeles.Akiwa katika majukumu katika tuzo hizo alipigiwa simu na Justin Bieber na ndipo alipomuelezea kilichojiri na ndipo muimbaji huyo alipoamua kuacha alichokuwa akifanya na kulelekea katika eneo la tukio ajili ya kuwasaidia watoto wa bondia huyo,alipofika eneo latukioa alijielezea kwa wanausalama kuwa yeye ni mwanafamilia wa watoto hao ndipo wanausalama walipomruhusu kuwachukuwa na ndipo alipowapeleka mpaka alipo baba yao na yeye kurudi mpaka eneo la tukio kukamilisha taratibu za kisheria.

0 comments:

Post a Comment