Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, July 4, 2014

NickBeyRih
Mapema leo YMCMB first lady amejibu ndiyo kwa kile kinachosemekana mashabiki wake kumtaka afanye kolabo na Rihanna na Beyonce.
Kuthibitisha amekubaliana na maombi ya mashabiki wake tazama alichokiandika baada ya shabiki mmoja kumtumia picha hii:
BeyRihNick4

0 comments:

Post a Comment