Mcheza kikapu mahiri mstaafu waligi ya maarufu duniani ya mpira wa kikapu NBA Shaquile O'Neal amedghihirisha kwamba ana vpaji vingi baada ya kufanya kweli huko Las Vegas katika night club ya Chetau & rooftop katika hotel ya Paris hotel anda Cassino.Shaquile O'Neal ana vipaji vingi ukiachilia mpira wa kikapu Shaquile anarap na sasa ni Dj.Shaqule amekuwa katika mazoezi makali miezi kadhaa na yamejidhiirisha baada ya kupewa mtambo na kuwapagawisha waliohudhuria club hapo.
0 comments:
Post a Comment