R&B star Chris Brown na rappa toka Young Money,Drake wameamua kuweka pembeni tofauti zao kama walivyoonekana katika picha aliyotuma rappa Drake kupitia Instagram.
Chris na Drake waliangusha bonge la tifu mwaka 2012 katika club ya W.I.P nightclub huko NYC ambapo sababu inasemekana ni Rihanna.
R&B star Chris Brown na rappa toka Young Money,Drake wapo studio kwaajili ya kutngeneza ngoma ambazo ni bonnus na zitapatika katika albamu ya Chris.Taarifa zaidi zinasema Drake atashiriki katika track kadhaa za Chris na ataziandaa pia.
Chris kufanya kazi na Drake inamuweka karibu sana na Young Money kwanai kashafanya kazi na Lil Wayne,Nicki Minaj na Tyga.
Saturday, July 12, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment