Young Money star,Tyga amewaangausha mashabiki baada ya kusema amejitoa na hatokuwapo katika ziara ya kimuziki na rappa Wiz Khalifa.
Wiz Khalifa aliyasema hayo kupitia akaunti yake ya Twitter mapema jana (July 10) kwa kuandika:"Tyga dropped off the tour. Sorry ya'll.,
Masaa kadhaa baadaye, Tyga pia alielezea kilichomfanya asishiriki katika ziara hiyo ya muziki kwa kusema, "I wanted to be apart of tour. But I'm finishin. Up my album and filmin a movie.,"
0 comments:
Post a Comment