Mchezo wa volleyball unaweza kuchukuliwa vibaya kutokana na sheria za nchi ya Iran ambazo zinazuiya wanawake kutazamamchezo huo.Akiwa bado hajahukumiwa Ghonchech Ghavami mwenye umri wa miaka 25 aliyechanganya damu ya Ulaya na Iran,yupo jela takribani miezio miwili kwa kosa la kutazama wanaume wakicheza volleyball.
0 comments:
Post a Comment