Pamoja na kuwa na tatizo la pesa za matumizi ya mtoto kama kesi alivyofunguliwa na mama wa mtoto wa rappa huyo,rappa na Fugees founder Pras Michel ambaye sasa ni film producer ameingia katika kinyang'anyiro cha kununua hoteli ya kifahari iitwayo Plaza hotel iliyopo New York inayouzwa dola millioni 2.2.
Mama wa mtoto huyoambaye ana umri wa miaka 3,Sugarman amefubngua mashataka zidi ya rappa huyo akimtaka amuongezee pesa za matumizi kutoka dollla 3000 mpaka dolla 7000 kutokana na kie anachodai kupanda kwa gharama za maisha.Prsa na mama wa mtoto huyo watakutana tena mahakamani tarehe 17 september.
Pras,ambaye kwasasa ni film producer,mwaka jana 2013 alijitengeneza kama dolla millioni 1 .
Rappa Pras Michael ambaye ana tuzo mbili za Grammy ambaye pia ni mwanasiasa ameungana mfanyabiashara na sports agent,David Sugarman ambaye pia alimchukua Dennis Rodman na kumpeleka North Korea katia kutaka kuinunua hoteli hiyo.
Tuesday, September 9, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment