Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, October 24, 2014

 http://www.famousbirthdays.com/faces/graham-aubrey-image.jpg

Drake leo ametimiza miaka 28,amezaliwa tarehe 24 October 24.Ni miaka 6 sasa tangu atoe albamu yake ya kwanza ambayo ilikuwa mixtape yake ya tatu aliyoitoa February 13, 2009, So Far Gone,ambayo ilitokana na albau ambayo haikuwa rasmi hapo hawali aliita The Girls Love Drake

Wish this sexy rapper a happy birthday!

 Monica Denise Brown (Monica Arnold)

 
Monica Arnold;amezaliwa October 24, 1980,ni muandaaji,muimbaji na muandishi wa nyimbo na muigizaji wa filamu. Kuzaliwa na makuzi yake ni katika mji wa College Park, Georgia,na alianza kutumbuiza nyimbo za injili na kusafiri na kwaya akiwa na umri wa miaka 10.Baadaye MOnica akiwa na umri wa miaka 13 alisajiliwa na lebo ya producers Dallas Austin na Tim & Bob, Arista na kutoa albamu ya kwanza Miss Thang 1995 ambayo iliuza nakala milioni 1.5 million huko US, na nymbo mbili toka katika albamu hiyo ambazo ni "Don't Take It Personal" na "Before You Walk out of My Life" zilimsababishia kushinda tuzo yamuimbaji mdogo zaidi kuingiza nyimbombili kali kwa wakati mmoja katika chati za Billboard Top R&B Singles.
Mwaka 1998, Monicaalitoa albamu ya pili The Boy Is Mine ambayo ilifanya vizuri kimauzo kimataifa na kumletea mafanikio makubwa sana ikiwemo kupata tuz za Grammy Award kama number-one hit title track, kibao alichoshirikiana na Brandy, kibao hicho kiliingia na kuongoza chati nyingi za muziki duniani.Albamu hiyo pia ilikuwa na vibao kama "The First Night" na "Angel of Mine", kw ujumla ilikuwa ndiyo albamu ya R&B yenye mafanikio makubwa sana

 

 Wayne Mark Rooney

 Wayne Rooney Euro 2012 vs Italy.jpg

Wayne Mark Rooney amezaliwa 24 October 1985 ni msakata kabumbu wa nafasi ya ushambuliaji wa Uingereza anayeichezea timu yake ya taifa na kilabu cha Manchester United kama  captains .
Akiwa na umri wa miaka 9 Rooney alijiunga na timu ya watoto ya Everton, fambayo ilimtengeneza mpaka kuwa professional mwaka 2002 akiwa na umri wa miaka 16.na kushiriki misimu miwili tu  na timu yake hiyo na baadaye kununuliwa na timu ya Manchester United kwa kiasi cha paundi millioni 25.6 mwaka 2004 katika uhamisho wa kipindi cha majira ya joto  Since then, with Rooney akiwa na United ameshinda vikombe vya  ligi kuu mara tano na UEFA Champions League mara moja,na kulitumikia taifa lake hata katika FIFA Club World Cup .Mwezi September mwaka 2013, Rooney alifunga na kufikisha goli lake la 200 akiwa na United.

0 comments:

Post a Comment