Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, October 23, 2014

 MOBO Best Intl:
The MOBO Awards ni tuzo zitolewazo kila mwaka huko United Kingdom kwa wanamuziki wenye asili ya weusi ("Music of Black Origin") na zilianzishwa mwaka 1996 na Kanya King akiwa na Andy Ruffell.
Tuzo za MOBO Awards mwaka huu wa 2014 zimefana na aliyeng'ara kwa kuzoa tuzo nyingi muimbaji wa R&B/Soul,Sam Smith anayetamba na wimbo “Stay With Me”.
MBali na shughuli nzima ya utoaji wa tuzo hizo kulikkuwa na burudani toka kwa waimbaji  Jeremih hit aliyechengua umati kwa kuimba hit song lake“Don’t Tell ‘Em” , Jessie J, Kid Ink,Nicole Scherzinger  Eve arrived with her husband Maximillion Cooper, and Kid Ink brought his own hot date.
Tazama orodha ya majina ya washindi wa tuzo hizo hapo chini:
Best Reggae: Stylo G
Best HipHop: Krept and Konan
Best RnB/Soul: Sam Smith
Best Gospel: Living Faith Connection Choir
Best Jazz: Zara McFarlane
Best Grime Act: Stormzy
Best Newcomer: Ella Eyre
 Best Male: Sam Smith
Best Female: Jessie J
Best International: Beyonce
Best Video: Skepta
Best Song: Sam Smith, Stay With Me
Best Album: Sam Smith, In The Lonely Hour
Best Inspiration: Idris Elba

 Sarah-Jane Crawford, Eve, Sam Smith, and Mel B

Tulisa and Tyga

0 comments:

Post a Comment