Siku ya jumanne usiku Justin Bieber ilibidi afanye pati yake ya kumkaribisha nyumbani ( homecoming) on kimyakimya bada ya kuwa kimapumziko huko ulaya.
his
good friends at the Beverly Hills police department.
Bieber, 20,aliandaliwa pati na marafiki zake nyumbani kwake huko Beverly Hills,lakini baadaye majirani waliripoti makelele kwa wanausalama wa Beverly Hills police department ambao walifika eneo latukio mida ya saa 5:17usikuana hawakukuta kelele wala tatizo lolote wakaondoka lakini wakarudi saa 6:40 usiku na kukuta kuna pati ikiendea ghorofani ndipo walipopanda na kuongea na mpangaji ambaye ni Justin Bieber walielewana lugh japoa waliambiwa wasifungulie mziki kwa sauti kubwa. Bieber, alikuwa na wageni kama 30.
0 comments:
Post a Comment