Ile vita ya kutupiana maneno makali katika mitandao ya kijamii kati ya Snoop Dogg na Iggy Azalea imemalizika kwa amani.
Rappa Snoop
amethibitisha kumalizika kwa utata huo kwa kupost kipande cha video na kusema , "No more bad talk' akimaanisha muda wa maneno machafu umekwisha na baadaye rappa Snoo aliomba radhi na kusema hatorusha tena maneno makali kwa rappa huyo wa kike anayetamba na track yake Fancy.Baadaye Iggy kupitia akaunti yake ya Twitter alikubali yaishe kwa kuitikia msamaha huo.
Taarufa zaidi zinadai aliyemaliza utata huo alikua ni rappa ambaye inasemekana aliongea na Snoop kupitia simu.
Tazama badhi ya picha zilizohusishwa na vita yao hapo chini:
Thursday, October 16, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment