Eminem tayari ameongeza adui mwingine.Rappa huyo ameongeza adui huyo ambaye ni Iggy Azalea
baada ya kumtaja angem baka katika wimbo wake mpya "Vegas" ambao umevuja wiki hii.
Rappa wa kike mwenye asili ya Australia,Iggy Azale ameonyeshwa kukasirishwa na kitendo cha Eminem kusema angem baka naye akajibu mapigo jana tarehe 20 kupitia akaunti yake ya Twitterna kuandika:
"I'm bored of the old men
threatening young women as entertainment trend and much more interested
in the young women getting $ trend. zzzz:Akimaanisha anachukizwa na vitendo vya marapa watu wazima kuwachokoa marapa wa mabinti na kuwaonea wivu wanavyoingiza mkwanja.
Iggy akaongeza kusema,Eminem kusenma angenibaka ama atanibaka ni kitendo cha aibu na udhalilishaji,hasa ukichukulia mdogo wangu wa kiume 14 ni mshabiki mkubwa wa Eminem,atajisikiaje akisikia dada yake nataka kubakwa?
Rappa Iggy Azalea hivi karibuni alikuwa katika vita ya kurushiana maneno makali na Snoop Dogg.
0 comments:
Post a Comment