Eminem mara nyingi amekuwa mtu wa kuwapaka watu maarufu katika nyimbo zake,lakini kwa hili inawezekana akwa ameenda mbali zaidi.Katika kipande cha wimbo wake mpya ''Vegas'' ambao utapatikana katika albamu yake Shaddy XV,rappa Eminem metoa kauli za vitisho vya kum baka rappa wa kike Iggy Azalea.
Tazama sehemu ya mistari hapo chini:
“So swallow my pride you’re lucky just to follow my ride. If I let
you run alongside the Humvee. Unless you’re Nicki, grab you by the
wrist, let’s ski. So what’s it gon’ be? Put that s*** away Iggy. You
don’t wanna blow that rape whistle on me. Scream! I love it. ‘Fore I get
lost with the gettin’ off.”
0 comments:
Post a Comment