Rihanna yupo mbioni kuiachia albamu yake mpya ambayo amesema yupo karibuni kuitoa.
Akiongea katika mahojiano na ''Entertainment Tonight” katika uzinduzi wa filamu ya MAC AIDS ''It’s Not Over'' siku ya jumanne,RiRi amesema albamu yake ipo karibu kabisa kutoka na tayari imepewa jina la kubandika (aka)“R8″.
RIhanna amekuwa bize studio na ma producer DJ Mustard, Ester Dean, Ty Dolla $ign, na Ne-Yo.
Thursday, November 20, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment