Tyga alishindwa kufika na kufanya special apearence katika kuikaribisha birthday yake Club moja huko Hollywood baada ya kile kilichosemekana kuzuiwa kwa rafiki wake wa kike (Kylie Jenner) kwasababu za umri mdogo.
Mtu mmoja anayeujua mkasa huo kwa ndani alisema,rappa Tyga alitakiwa kuwapo club hapo kwa makubaliano maalum lakini mambo hayakwenda kama ilivyopangwa baada ya rappa huyo kuwaomba wahusika wa clu hiyo aingie na girlfriend wake Kylie Jenner mwenye umri wa miaka 17 na sheria za America zinamruhusu kuingia club mtu mwenye umri kuanzia miaka 21.
Tanzania pia wangezingatia haya labda tungefanikiwa kuokoa mmomonyoko wa maadili.
Happy birthday Michael Ray Nguyen-Stevenson aka Tyga,
Happy birthday Larry King the American television and radio host, actor, voice artist, and comedian ,Born: November 19, 1933 (age 81), Brooklyn, New York, United States
Namfananisha na Rainfred Masako wa Super brand namba moja tv Tanzania,Itv
Wednesday, November 19, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment