Will Smith and Jada Pinkett Smith's marriage may be the target of endless gossip, but one thing is for sure: the couple plays nice with his ex-wife.
Mtoto wa kwanza wa Star wa filamu ya Men in Black eldest , Trey, amesherekea siku yake ya kuzaliwa,kutimiza miaka 22siku ya ijumaa katika ukumbi wa the
Ghostbar Dayclub huko Las Vegas. Trey alisherekea siku yake ya kuzaliwa na baba yake,Will Smith,mamake wa kufikia,Jada Pinket na mama yake mzazi ambaye alikuwa mke wa kwanza wa Will Smith ,Sheree Fletcher.
Sheree The Hollywood Exes reality star,aliolewa na Will mwaka 1992 wakadumu mpaka mwaka 1995, kipindi cha Fresh Prince .
Sheree The Hollywood Exes reality star,aliolewa na Will mwaka 1992 wakadumu mpaka mwaka 1995, kipindi cha Fresh Prince .
0 comments:
Post a Comment