Ikiwa haujap mwezi tangu rappa Lil Wayne atangaze nia ya kutaka kujitoa Cash Money Records kutokana na kutoelewana na kucheleweshewa kutoa albamu yake ya Tha Carter V ,kuna taarifa toka kwa watu wa karibu na rappa huyo kwamba ana mpango wa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Cash Money Records.
Chanzo hicho kimesema Lil Wayne hana mpango wa kufanya maongezi na kiongozi wa lebo hiyo,Birdman .
Friday, December 26, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment