Rihanna ametangazwa kupitia Instagram,kwamba ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa ubunifu na balozi wa bidhaa za Puma.
Rihanna anafahamika kwa kupenda mambo ya mitindo kuanzia mavazi na hata nwele,mrembo ambaye yupo chini ya lebo ya Roc Nation’amekuwa ndiye mwanamuziki mpya kutangazwa kupata shavu katika maswala ya kuwa m bunifu katika kiwanda kinachotengeneza bidhaa bora na cha siku nyingi,Puma.
Rihanna kuhcaguliwa kuwa m bunifu anaungana kundi la waimbaji wanaofanya shughuli za ubunifu na makampuni makubwa duniani,Kanye West m bunifu wa adidas na Meek Mill pia anfanya kazi na Puma.
Wednesday, December 17, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment