Mtangzaji wa kituo cha redio cha power 105.1,Charlamagne Tha God,amekuwa mdau mwingine wa muziki kuingilia utata ulipo baada ya Lil Wayne kutangaza kujitoa Cash Money,mtangazaji huyo amefiki kumuita bosi wa Cash Money, Birdman,rappa tajiri ambaye hajatoka na kuongeza kusema Cash Money inang'aa sababu ya Lil Wayne.
Rappa Lil Wayne alitangaza mpango wake wa kujitoa Cash Money mwishoni mwa mwaka jana kwa sababu alizozitaja ambazo ni sambamba na kucheleweshewa kutolewa albamu yake na kujiona kama yupo ifungoni.
0 comments:
Post a Comment