Mtandao wa RadarOnline.com umeandika Kris Jenner ameruhusu mwanaye wa kikemwenye umri wa miaka 17, Kylie,kulala ma mpenzi wake,Tyga, 25nyumbani mwake huko Hidden Hills.
Taarifa zaidi zinasema rappa Tyga ameonekana mara kwamara akilala katika jumba hilo la kifahari la familia ya Kardashian
Baba wa “Kylie, Bruce,hafurahii binti yake kujiachia na rappa Tyga mjengoni hapo ila hana mamlaka ya kukataza ama kukemea ila anabaki kugombana na mama wa binti yake huyo.
Wednesday, January 21, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment