Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 1/27/2015 02:56:00 AM
No comments
He ain’t saying she’s a gold digger! Ndiyo mstario ambao Kanye angependa ulimwengu utambue kuhusu mahusiano yake na mkewe,reality star,Kim Kardashian.Kanye anasema japo mkewe Kima anafahamika kwamba anapenda maisha ya kifahari lakini hajamuoa eti kwasababu ana mkwanja mwingi.
Kanye West, 37, na Kim Kardashian,
34, wote ni matajiri na wanamiliki mamilioni ya madola kwenye akaunt zao japo utajiri unatofautiana,Kanye aliweka wazi kwamba hajapendwa kwaajili ya mkwanja alipokuwa anaongea katika sherehe za The BET Honors Jan. 24.
Kanye amesema amekuwa akiyasikia hata katika masaluni kwamba,muamerica mweusi hata awe maarufu lakini mpaka awe na mafanikio na mkwanja ndiyo anaweza kuwa katika mahusiano na muamerika mweupe.
0 comments:
Post a Comment