Mwanamuziki wa kundi la muziki wa kizazi kipya aliyekuwa akiwakilisha kundi la Chemba Squad,Moses Bushagama aka Mez B amefariki dunia leo saa nne asubuhi katika hospitali ya Mwananchi huko Dodoma alikokuwa amelazwa.
Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahali pema peponi,Ameeen.
Friday, February 20, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment