Hit maker wa ngoma ''Fancy'',Iggy Azalea ametangaza kujing'atua katika mitandao ya kijamii haswa mtanda wa Twitter.Iggy hivi karibuni alirejea akitokea mapumzikoni huko Hawaii na boyfriend wake,Nick Young na kukaribishwa na picha zake mbaya mitandaoni zikimuonyesha akiwa na michirizi na ngozi yake ina mabonde kitu ambacho kilimkera sana.
Kufuatia kukerwa huko,Iggy ameamua kujitoa katika mitandao na aliandika ujumbe huu : “But I also want to let my fans know iam taking some time away from social media. I need to be happy and it is too negative and draining.”
0 comments:
Post a Comment