Lil Wayne bado anamuelekezea lawama zote za yanayotokea katika lebo ya Cash Money,bosi Birdman. Katika taarifa mpya Lil Wayne amesema anashtushwa na hali ya Birdman na kampuni yake ya Cash Money kutojali kama machafuko yanayoendelea katika lebo hiyo yanaweza kupelekea kuwapoteza mastaa kama, Nicki Minaj na Drake.
Lil Wayne alimfungulia mashataka Birdman na lebo yake ya Cash Money kutaka kujitoa yeye na lebo yake ya Young Money yenye mastaa kama Nicki Minaj na Drake.
Monday, June 22, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment