Jnana ilikuwa siku nzuri kwa rappa na m bunifu Kanye West,alikuwa akisherekea siku ya BABA duniani na binti yake North West huku akisherekea habari njema za kutaraji kupata mtoto wa kiume .
Kim
Kardashian alifunguka kuhusu jinsia ya mtoto wao wanayemtarajia kupitia akaunti yake ya Instagram jana siku ya jumapili huku akitupia picha ya mumewe Kanye akiwa ameketi akisoma kitabu na binti yao.
Tazama picha hiyo hapo chini:
0 comments:
Post a Comment