Michael Jackson imetimia miaka 6 tangu kifo chake.
Tarifa zinasema tofauti na ilivyokuwa ikitangazwa kwamba kuna dalili za Mfalme huyo wa muziki na Pop ulimwenguni kufilisika,ameiingizia familia yake takribani kiasi cha dolla billioni 2.
Chanzo kimoja kimesema akaunti ya Michael Jackson inayomilikiwa na familia yake imefikisha kiasi cha billioni 2 pesa zilizopatikana kutokana na mauzo ya filamu ya "This is It," , "Michael Jackson: The Immortal World Tour," na mauzo ya albamu za uziki zilizomuingizia karibu dolla millioni 50.
Friday, June 26, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment