Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, June 25, 2015

 
Ric Ross aka "The Bawse",bosi wa The Maybach Music  mikononi mwa polisi tena na mara hii usitarajie kumuna akiachiwa karibuni na huenda akakosa kushuhudia uzinduzi wa wa albamu mpya ya msanii wa lebo yake,Meek Mill ambao umetajwa kufanyika jumanne ijayo tarehe 30 mwezi June.
Rick Ross alikamatwa na polisi na kuwekwa selo jana 24 June kwa makosa ya kumteka kwa maana ya kumfungia sehemu,kumjeruhi,kumvunja meno mawili na kumtishia kwa bastola mfanyakazi katika nyumba yake aliyouziwa na bondia Evander Holyfield,mfanyakazi ambaye kazi yake ni kuunza mazingira.



Ross na bodyguard wake wote walikamatwa kwa tukiohilo lililotokea tarehe 7 June 2015.
Rick Ross anakamatwa tena ikiwa ni wiki mbili tangu akamatwe kwa makosa ya kukutwa na bange.

0 comments:

Post a Comment