Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, June 24, 2015

0623-scott-storch-tmz-02
Producer maarufu Scott Storch ambaye alitengeneza nyimbo zilizohit za wasanii mastaa kama Christina Aguilera, Justin Timberlake, Beyonce na wakali wengine,ametangazwa kufilisika kabisa,kutoka kuwa na utajiri wa kiasi cha dolla millioni 70 mpaka kufikia kubakia na dolla 100.

Storch imegundulika anamiliki mali za thamani ya dolla 3,600 ambazo zimenunuliwa kwa jina lake zikiwemo nguo za doll 500.
Hii si habari njema kwa wapenzi wa muziki kwani producer Storch alitengeneza nyimbo nyingi zilizoshika chati mbali mbali za muziki zikiwemo:
2002
2003
2004
2005
2006
2007
2008
2009
2010
2011
2012

1993

07. "Grits" (produced with Questlove & The Roots)
09. "I'm Out Deah" (produced with Questlove & The Roots)
17. "Carryin' on" (produced wit
Storch inasemekana ameshwahi kupoteza kiasi cha dola millioni 30 ndani ya kipindi cha miezi 6 kwa matumizi mabaya ya madawa ya kulevya.



0 comments:

Post a Comment