Boyfriend wa Nicki Minaj,Meek Mill amemchan rappa Drake kupitia mtandao wa Twitter. Meek Mill alisema:“Stop comparing drake to me too…. He don’t write his own raps.
Drake ambaye ameshirikishwa katika wimbo wa Mek MII, “R.I.C.O.”ambayo imo katika albamu Dreams Worth More Than Money, lakini Meek,ameiponda pia kwa kusema:Drizzy didn’t write his verse. “He ain’t even write that verse on my album and if I woulda knew I woulda took it off my album…..
Meek Mill ameongeza kusema kwamba kitendo cha rappa Drake kuandikiwa mistari siyo siri na hata Lil Wayne na Nicki wanafahamu kuhusu hilo.Pamoja na kumponda Drake,rappa Meek Mill amewapa big up ma rappa Kendrick Lamar J. Cole.
0 comments:
Post a Comment