Filamu ya "Straight Outta Compton" imepangwa kuonyeshwa katika majumba ya sinema tarehe 14 August.
N.W.A wataungana na kumshirikisha Eminem katika ziara maalumu ya muziki ajili ya kuitangaza filamu yao ya ''Straight outta Compton'',imeripotiwa na ripota wa The Hollywood Reporter na kuandikwa katika jarida litakalotolewa July 31.
Universal,ambayo ndiyo studio waliyotengeneza filamu hiyo,wapo katika mpango wa kuwaunganisha wanachama wa kundi la Hip Hop lililoanza harakati zake mwishoni mwa miaka ya 80 la N.W.A lililokuwa likuiundwa na .Ukiachilia mbali wanachama hao ni Dr. Dre na Ice Cube,katika ziara hiyo ya kuitangaza filamu hiyo atahusishwa rapa Eminem.
Wakiwa katika mahojiano kuhusu filamu hiyo,kwa mara ya kwanza Dre na Ice Cube wamemzungumzia and Cube Suge Knight na kesi yake ya mauaji inayomkabili.
Suge Knight aiyekuwa mmiliki wa studio ya The Death Row ,alitokea mahala ambapo tangazo la filamu hiyo lilikuwa likitengenezwa na baadaye kuondoka na kuwagonga watu wawili ambapo mmoja wapo alifariki.
Dre anakili alikuwapo eneo la tukio na alipoona hali ya sintofahamu ikitokea akaamua kuondoka huku hajui lolote lililotoke nyuma mpaka alipopigiwa simu akiwa anakaribia kuingia nyumbani kwake.
0 comments:
Post a Comment