Bruce Washington aka Hussein Fatal ni mmoja kati ya waliokuwa wakiunda kundi la The Outlawz lililokuwa chini ya hayati Tupac .Taarifa toka kwa mmoja wa wawakilishi wa kundi hilo la The Outlaws zinasema rappa Hssein Fatal alifariki meishoni mwa wiki kwa ajali ya gari.
Wanachama wa The Outlaws walipost ujumbe wa kuhusu kifo cha Fatal ulioandikwa: "Rest in Paradise our
brother Hussein Fatal. He passed away in a car accident. Pray for his
family & kids at this time!"
Fatal alishiriki katika nyimbo kadhaa za hayati Tupac lakini kubwa zaidi iliyompa umaarufu ni ''Hit 'Em Up" ... mstari wake mmoja ulikuwa unasema "Get
out the way, yo, get out the way, yo. Biggie Smalls just got dropped."
Monday, July 13, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment